Wednesday
19 August
Cargo accepted until
Tuesday, 18 August
Your cargo must be at our Guangzhou warehouse by this day.
kwa harakasalamana uhakika
Pata bidhaa, tafuta suppliers na viwanda bora nchini China. Kupitia Target Express Air Cargo, tunasimamia mchakato mzima wa usafirishaji — kutoka China hadi mzigo wako unapofika salama Tanzania.
2
cargo deliveries
Collected by their owners in Dar
78
customers served
Importing through us from China
1,070 kg
flown to Tanzania
Weighed on our own scales
3
flights every week
Wednesday, Friday, Sunday
2
warehouses
Guangzhou and Dar es Salaam
Njia zetu · Our routes
Mzigo wako unapokelewa, unapimwa na kupigwa picha kwenye ghala letu Guangzhou — kisha unapanda ndege.We load in Guangzhou and Hong Kong. Depending on the airline and what you are sending, your cargo flies direct or connects through the Dubai or Addis Ababa hubs — the same tracking number either way.
Tunasafirisha kila Jumatano, Ijumaa na Jumapili. Mzigo wako ufike ghala letu Guangzhou kabla ya siku ya mwisho.We fly three times a week. Get your cargo to our Guangzhou warehouse by the cut-off day and it goes on that flight.
Wednesday
19 August
Cargo accepted until
Tuesday, 18 August
Your cargo must be at our Guangzhou warehouse by this day.
Friday
21 August
Cargo accepted until
Thursday, 20 August
Your cargo must be at our Guangzhou warehouse by this day.
Sunday
23 August
Cargo accepted until
Saturday, 22 August
Your cargo must be at our Guangzhou warehouse by this day.
Address ya China
Hii ni warehouse yetu Guangzhou. Mtumie Supplier wako address hii kwa Kichina — ndio anayoihitaji ili kuleta mzigo wako.
地址 / Address
广州市白云区金沙洲环洲三路 ECAT 文化创意园 B 栈 121 及 218 室
ECAT Cultural Park, Huanzhou 3rd Road, Jinshazhou, Baiyun District, Guangzhou
Building B, Rooms 121 & 218
Huduma zetu
Njia moja, bei moja, namba moja ya kufuatilia. Yote yaliyo hapa chini ni huduma ya kawaida — hakuna malipo ya ziada.
Our own warehouse in China
Supplier wako anaacha mzigo kwenye address yetu Guangzhou. Tunapokea, tunapima, tunapiga picha na tunaandika kwa jina lako.
Air freight, not sea
Mizigo inasafiri kwa ndege kutoka Guangzhou hadi Dar es Salaam — siku, sio miezi kama meli.
Batch shipping with a manifest
Mzigo wako unasafiri katika batch yenye namba na orodha kamili. Hakuna 'mzigo uko huko mahali'.
Checked on arrival
Kila batch inahesabiwa kipande kwa kipande Dar. Upungufu au uharibifu unaandikwa siku hiyo.
Clear invoicing
Bei kwa kilo. Malipo kwa simu au benki — namba kamili zipo kwenye invoice yako, na unapata risiti.
QR-secured collection
Mzigo unatolewa tu kwa pickup note yenye QR inayolingana na lebo iliyo kwenye mzigo wako.
Inafanyaje kazi
Mpe Supplier wako address yetu ya China. Anaacha mzigo pale — hakuna kingine unachotakiwa kufanya.
Tunapima uzito, tunahesabu vipande, tunapiga picha, na tunaweka lebo yenye QR na namba yako ya kufuatilia.
Batch inasafiri. Airline, flight na waybill zinaandikwa. Ukurasa wako wa kufuatilia unabadilika kuwa 'Safarini'.
Tunahesabu kila mzigo kwenye manifest. Mzigo wako unaonekana 'Imefika' baada ya kuwa ndani ya store.
Tunathibitisha malipo na kutoa pickup note. Njoo Aggrey au Ndanda, tunaskani, tunakupa mzigo wako.
Mizigo tunayosafirisha
Bei inatofautiana kwa aina ya mzigo — electronics na cosmetics hazipimwi kama mzigo wa kawaida. Tuulize bei yako kabla ya kutuma.
Ofisi zetu
Dar es Salaam
Kariakoo, Agrey & Ndanda Street Opposite na Mkombozi Bank Dar es Salaam, Tanzania
Collection point.
China · for your supplier
广州市白云区金沙洲环洲三路 ECAT 文化创意园 B 栈 121 及 218 室
Building B, Rooms 121 & 218
Tuna wafuasi 7,200+ kwenye Instagram, na tunaonyesha send-outs na reviews za wateja kila wiki. Kagua mwenyewe kabla ya kutuma mzigo wako.
@targetexpress_Weka namba yako ya mzigo kwenye ukurasa wa kufuatilia — hakuna kusubiri majibu ya WhatsApp. Tuna pia app kwa iPhone.
Tuulize kabla Supplier wako atume. Tutakupa address ya China, namba yako ya mteja, na bei ya mzigo wako.